Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
5 Reactions
36 Replies
719 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere leo amewasilisha Ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis. Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu. Kwakweli Mungu ni mwema. Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu ...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kusema ukweli kama unafikiria kiuchumi na kimkakati huwezi fanya maamuzi ya kuchagua vipaombele kama hivyo ambavyo Kwa maoni yangu ni vipaombele vya hovyo kabisa. Kwamba Tumetukia Trilioni 3.6...
10 Reactions
113 Replies
2K Views
Mimi naikubali hii Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini
5 Reactions
403 Replies
41K Views
Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
0 Reactions
7 Replies
185 Views
Leo ndoa nyingi wanaume wengi tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya...
2 Reactions
2 Replies
62 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
  • Poll
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
0 Reactions
3 Replies
28 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,316
Posts
49,197,170
Members
663,990
Latest member
Moeka Ludili
Back
Top Bottom