Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.
Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana...
Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini.
Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena...
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku.
Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati...
Hili suala la AJIRA za TEUZI kwangu ni chanzo kikukuu cha umasikini maana tunakosa watu sahihi hali ya kuwa tunao hao watu.
Kwa mfano kuanzia CEO wa taasisi kama NIMR, NHIF , JKCI, MSD , TTCL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.