Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya kumdhihaki sana Rais wa nchi hatimaye account ya instagram ya mwanadada Mange Kimambi imefutwa rasmi kwenye ukurasa wa instagram. Account hiyo ilikuwa na zaidi ya followers 7.6M
2 Reactions
13 Replies
122 Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
3 Reactions
47 Replies
931 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
48K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
7 Reactions
223 Replies
5K Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri. Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri...
29 Reactions
1K Replies
167K Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
38 Reactions
182 Replies
5K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
16 Reactions
307 Replies
6K Views
Kuna hii njia yakutokea kwamnyamani,kwenda vingunguti,tabata,mpaka kwengineko,hii njia nifinyu,kwa wapita njia,twaomba mtusaidie
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya...
3 Reactions
8 Replies
267 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,914
Posts
49,400,674
Members
665,764
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom