Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naongea ukweli wangu ! Awamu ile tulichukua fomu tukaambulia patupu ,lakini awamu hii kama ccm hawatatoa mgombea yoyote ndani ya chama wa kumchalenge rais Samia ,Mimi nitachukua fomu ! Na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21, Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck. Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
9 Reactions
28 Replies
380 Views
Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa...
1 Reactions
10 Replies
296 Views
Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
3 Reactions
30 Replies
233 Views
Hizi taarifa zinachanganya! Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni. Tarehe 25...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
16 Reactions
107 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,356
Posts
49,198,663
Members
664,001
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom