Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini...
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.
Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.
Sisemi tu kwa sababu...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni...
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali.
Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida [emoji28]ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856
8000tsh!(milioni mia mbili...
Leo ndoa nyingi wanaume weng tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya...
SERIKALI imetuma kikosi maalum cha askari wa kupamba na ujangili Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora ili kukabiliana na nyoka aina ya Koboko ambao hadi sasa wamesababisha vifo vya watu wanne.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.