wakuu ni aje
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii...
Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani cos amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel katika social media post za Israel...
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka...
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi...
DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua...
Na Mwandishi Wetu, Musoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.