Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...
0 Reactions
10 Replies
128 Views
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Gem nimeshamaliza huku mafia uhakika wanangu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
18 Replies
126 Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
17 Reactions
104 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,728
Posts
49,428,192
Members
666,043
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom