1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga?
2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka MITATU ya Urais wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa.
Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.
Lakini kuna huyu mwanaume. Mume...
Tunaweza kuweka lawama kwa hili shirika lakini kwa hivi karibuni ndege zake zinatumika sana kwa safari za kiserikali na ambazo sio za kibiashara. Hii mara nyingi husababisha kuchelewa au...
BISSIROU DIOMAYE FAYE-RAIS KIJANA WA SENEGAL:
Ni mtu aliyevunja rekodi,kwa kugombea nafasi ya juu sana kwa mara yake ya kwanza, na akashinda kwa kishindo.Pia ni mtu ambaye wakati anagombea urais...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni free kabisa,leo tutumie fursa kwa wale wenye challenge ya miti yao ya matunda,viungo au mingine mingine ya muda mrefu muweke matatizo yenu hapa na nitayajibu,lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.