Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KIA Airport mimepita karibuni nikitokea Doha, walishuka watalii zaidi 200. Bahati ilikuwa asubuhi nimeweza kuona vizuri mandhari na mazingira yake, ni Airport iliyo eneo zuri na panaweza...
1 Reactions
4 Replies
84 Views
Zingatia hicho kichwa hapo juu Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
23 Reactions
155 Replies
3K Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
1 Reactions
20 Replies
286 Views
Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana. Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea...
0 Reactions
7 Replies
382 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
My Take Kama hili ndio Geti la Bilioni 2 Basi Tanzania tuna pesa nyingi sana za Kuchezea. Tukumbuke na wengine --- Katika kuimarisha sekta ya utalii ukanda wa mikoa ya kusini, Serikali imetoa...
3 Reactions
26 Replies
686 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
56 Reactions
155 Replies
5K Views
Serikali Imepunguza Bajeti ya Nishati Kwa zaidi ya Trilioni 1. Unajiuliza Kwa nini upunguze Bajeti wakati Kuna Mikoa Iko off grid eg Rukwa,Katavi,Lindi na Mtwara? Pili unapunguzaje Bajeti wakati...
0 Reactions
20 Replies
80 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,331
Posts
49,482,581
Members
666,698
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom