Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi
---
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla...
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa ya sogee , sasahivi nimegundua kumbe...
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliegundua herufi alikuwa anawaza nini mfano:
A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
Bado niko na nyie TAMISEMI nani anawatia kiburi cha uzima? mmefungua page mitandaoni ila hamna mtu mnaweza kumjibu, mmeweka huduma kwa wateja ila wahudumu mmewaweka kama pambo hawaelewi chochote...
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili...
Ila cha saa kumi huwa...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga...
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.