Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
7 Reactions
64 Replies
430 Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
12 Reactions
53 Replies
698 Views
Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3. Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka...
8 Reactions
195 Replies
4K Views
Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu. Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC...
14 Reactions
141 Replies
6K Views
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD Je, ni timu gani kutinga fainali...
4 Reactions
24 Replies
346 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
5 Reactions
82 Replies
587 Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
21 Reactions
91 Replies
1K Views
Tokugawa Shogunate... Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT. Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
1 Reactions
15 Replies
115 Views
2 Reactions
7 Replies
53 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,950
Posts
49,470,227
Members
666,529
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom