Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo...
Hello!
Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.
Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa...
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
Jana tumeona mechi ya Yanga na jkt ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji Kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka jkt walitaka wachezaji wa Yanga waumie)
Leo mvua ni kubwa kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.