Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza...
1 Reactions
25 Replies
609 Views
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
14 Reactions
185 Replies
2K Views
Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya...
4 Reactions
18 Replies
343 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika...
4 Reactions
39 Replies
592 Views
Kwa mategemeo makubwa sana nilipongeza juhudi za serikali kumreplace fastjet ambae sikumbuki vizuri aliondoka kwajili gani kipindi cha magufuli lakini tangu muda huo hadi sasa Air Tanzania kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hello. Katika ulimwengu wa mahaba kipi uwa unaenjoy zaidi. Kuzama chumvini wewe je?
6 Reactions
56 Replies
811 Views
Habarin ndugu zangu ...mwenye riwaya ya mkimbizi soft copy naomba anisaidie
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Hata katika ukusanyaji wa mapato hakuna mwaka tumepata mapato makubwa bila kufunga watu, bila kupora watu kama mwaka huu” - Abdulrahman Omar Kinana, Makamu Mwenyekiti CCM.
0 Reactions
5 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,609
Posts
49,423,427
Members
666,015
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom