Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
13 Reactions
62 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
4 Reactions
66 Replies
428 Views
Bado niko na nyie TAMISEMI nani anawatia kiburi cha uzima? mmefungua page mitandaoni ila hamna mtu mnaweza kumjibu, mmeweka huduma kwa wateja ila wahudumu mmewaweka kama pambo hawaelewi chochote...
4 Reactions
31 Replies
640 Views
Anaejiita Nabii Mkuu bwana Geordabie Ametoa Msaada wa kiasi Cha Shilingi Milioni 100 Kwa Ajili ya ujenzi wa Barabara ya Likombo iliyoko huko Kisongo. Aidha bwana Geordabie Akitoa Msaada wa...
0 Reactions
5 Replies
8 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
32 Reactions
141 Replies
4K Views
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho. Viongozi waliofanya vizuri ni...
1 Reactions
31 Replies
200 Views
Wakuu tuokoe muda Naomba maandiko rasmi sio stori ndefu na blaah blaah narudia tena kwa msisitizo yawe maandiko rasmi tena yaliyonyoroka sio ya kuokotezaokoteza wala konakona. Mambo mengi muda...
3 Reactions
26 Replies
291 Views
Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gerald Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.. Asante
2 Reactions
52 Replies
348 Views
Yaani Ndugu yenu anauawa kinyama halafu mkihoji mnakamatwa . Mungu ibariki Tanzania
2 Reactions
4 Replies
38 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,941
Posts
49,469,524
Members
666,520
Latest member
Ndasika
Back
Top Bottom