Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
0 Reactions
7 Replies
198 Views
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne...
4 Reactions
29 Replies
328 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
🎄💪Apply for these open scholarships. 1. York University International Scholarship Link: York University International Scholarship In Canada 2024 (Funded) - Opportunity Portal 2. McGill University...
9 Reactions
262 Replies
10K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
24 Reactions
91 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya...
0 Reactions
13 Replies
200 Views
Asalaam wana JF, Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ziiki Media ni kampuni kutoka Kenya inyosimamia wasanii kusambaza kazi zao kidijitali mitandaoni, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za kidijitali na kampuni za mawasiliano ya simu ili...
0 Reactions
10 Replies
78 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,823
Posts
49,430,956
Members
666,077
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom