Kwa hapa Dsm mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana.
Wengi wanapika vyakula ilimradi...
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza...
Haya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Vladimir Putin owns some of the most incredible expensive things in the world and has an estimated net worth of close to $200 billion dollars.
10 - Gold Toilet
Before we even get to Putin's...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna watu wanadhani tuna chuki binafsi na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano bwana John sio kweli hata kidogo.
Tunapoongea kuhusu maovu ya Serikali yake ni ili kutoa uelewa kwa wananchi na viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.