Hakika ya dunia ina vitu vizuri na vyenye kupendeza ambapo pengine watu kwenye malengo watatamani kuvipata ama kuvifikia.
Miongoni mwa hvyo vitu vizuri ni majiji makubwa hapa duniani yenye...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Sikukuu jamani April 20.
Inaitwa 4-20
Ni siku ya kula bhange duniani 🤫😆😆
Basi hata tusipopumzika tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na fursa ya zao la bange nchini. Au mnasemaje masela?
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana,basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka.
Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu.
Timu zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.