Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo. "Nafikri wewe kibabu Jemedari...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia...
20 Reactions
70 Replies
3K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
12 Reactions
97 Replies
1K Views
Salamu kwenu, Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti...
2 Reactions
10 Replies
147 Views
Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku. Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
3 Reactions
56 Replies
719 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe...
3 Reactions
27 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,340
Posts
49,198,186
Members
664,003
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom