Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
2 Reactions
8 Replies
53 Views
Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa. Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani)...
12 Reactions
80 Replies
5K Views
Muda huu maeneo ya Kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
0 Reactions
8 Replies
16 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata...
13 Reactions
77 Replies
2K Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
61 Reactions
348 Replies
11K Views
kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule. Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana. Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha...
3 Reactions
15 Replies
502 Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
4 Reactions
18 Replies
299 Views
Wakuu habari zenu, Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school, nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala...
11 Reactions
401 Replies
32K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
9 Reactions
119 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,325
Posts
49,482,320
Members
666,696
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom