Shalom,
Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe.
Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi...
Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo.
Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na...
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road...
Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo.
Vipo...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili...
Ila cha saa kumi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.