Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hiyo ndio asili ya Mwafrika. Kiasili na kwa utamaduni wake Mwafrika sio wa kuwa na mke mmoja. Turudi nyumbani kumenoga. Kwani kuna kwere eti wajameni?
3 Reactions
7 Replies
76 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
14 Reactions
105 Replies
2K Views
Taasisi ya Victoria Foundation kwa kushirikiana na Orica Tanzania inatekeleza mradi wa hatua kwa hatua uitwao Binti Ng'ara, kwa ajili ya kumsaidia mtoto wa kike kupata taulo za kike za kumuwezesha...
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Hatimaye ile siku tuliyoingojea kwa hamu imefika rasmi. Ile derby yetu kati ya Simba na Yanga imewadia rasmi na tupo tayari kwa ajili ya Live Update ya game. Kaa nasi hapa
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
24 Reactions
233 Replies
4K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
66 Replies
2K Views
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda. Sasa kuna jitu lenyewe halijali...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
15 Reactions
45 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi Source: Ayo Tv Mlale Unono 😄😄😄
0 Reactions
4 Replies
33 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,903
Posts
49,434,285
Members
666,121
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom