Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani. Jamaa ana dola bilioni 3.2. Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5. P Didy ana dola milioni 800 Dr Dre ana dola...
5 Reactions
12 Replies
415 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Report ya CAG mwaka jana, Rais Samia aliwasemehe wale wote walio tajwa kwenye report na hawakutakiwa kurudisha hata 10 walizo piga. Leo hii anakuja na swagwa za kulalamika? Ili kuwachota akili...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
11 Reactions
38 Replies
840 Views
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema hivi, nanukuu "CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAA" mwisho wa kunukuu. Kauli hii ya Nyerere ilimaanisha kwamba ili chama cha siasa kiwe imara...
6 Reactions
20 Replies
909 Views
Passenger traffic 1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam 2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar 3 Kilimanjaro...
3 Reactions
14 Replies
211 Views
Hellow JF, Kwa miaka ya hivi karibuni waajiri wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu utendaji kazi duni wa waajiriwa ukilinganisha na ufaulu wao unao onekana kwenye vyeti vyao vya kitaaluma. Sitaki...
1 Reactions
18 Replies
260 Views
Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth...
2 Reactions
10 Replies
137 Views
Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,266
Posts
49,195,506
Members
663,963
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom