Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
4 Reactions
65 Replies
523 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
19 Reactions
280 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuleta...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya...
5 Reactions
19 Replies
949 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
227 Reactions
400K Replies
31M Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
53 Reactions
327 Replies
6K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
0 Reactions
9 Replies
152 Views
Hiz ni code zitazokufanya usifeli popote 1. Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid. Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi...
17 Reactions
68 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,703
Posts
49,209,609
Members
664,076
Latest member
kingfj
Back
Top Bottom