SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI.
Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo...
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa!
Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima , ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo , Ratiba...
Shalom,
Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.
Unapoingia...
Ndugu zangu Watanzania
CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
Hili ni funzo kwa Makonda afuatilie mikutano ya Kinana na Nchimbi atagundua yeye alikuwa ni mwenezi
1: Mropokaji kila jambo anaropoka kwa maslahi yake
2- Mwenezi wa kujikweza na maagizo yasiyo na...
Mwaka huu kumekuwa na kumbikizi ya miaka 40 ya kifo cha Edward Sokoine, ambacho kiligubikwa na utata mkubwa, kukiwa na madai kwamba hakufa kwa ajali bali aliuwawa na watu ndani ya uongozi ambao...
Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.