Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,
Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.
Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo."
Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar...
Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA.
Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.