Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam,Shalom!! Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu. Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini ,Dar es Salaam na Mwanza,maandamano hayo yameendelea kupata...
4 Reactions
85 Replies
3K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
16 Reactions
920 Replies
7K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya masikini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
74 Reactions
4K Replies
248K Views
Hello. Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe. Au ndo masharti ya mganga wao.
0 Reactions
2 Replies
9 Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
10 Reactions
109 Replies
1K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
13 Reactions
54 Replies
1K Views
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wasimulia maisha ya Joseph Kaniki - Tanzania, Sweden na “unga” kutoka Brazil11/09/2013 0 Comments KanikiMaisha mazuri kwa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Joseph Kaniki ‘Golota’ sasa ni ndoto...
0 Reactions
24 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,767
Posts
49,464,982
Members
666,453
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom