Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden
Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
"Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.