Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
16 Reactions
316 Replies
6K Views
kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana...
9 Reactions
64 Replies
1K Views
1. Deborah 2. Janeth 3. Grace 4. Irene 5. Agnes 6. Lilian 7. Catherine Jiandaeni au Kaeni tayari sasa kwa Majina ya Wanawake ambao ukiwakuta Wametulia Kitabia Katambike Kwenu Okay?
15 Reactions
140 Replies
3K Views
Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia...
1 Reactions
6 Replies
76 Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
26 Reactions
211 Replies
2K Views
Habari wakuu! Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali...
2 Reactions
14 Replies
164 Views
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
0 Reactions
11 Replies
177 Views
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits...
7 Reactions
43 Replies
961 Views
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi...
3 Reactions
73 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,929
Posts
49,401,142
Members
665,778
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom