Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar...
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.
Yamewahi...
kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme , tuwe tunatumia umeme na gas, mana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya.
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
Viongozi wa Yanga mbona mmelala kiasi hiki? Hamuoni hii ni hujuma ya wazi?
Lengo la Tff na bodi ya ligi ni nyie kudodosha point ndio maana wanalazimisha mechi ichezwe kwenye uwanja usiochezeka...
Huduma za hospitali ya rufaa Bugando zina changamoto hasa wodi za watoto, kwenye wodi za watoto wanaolazwa wanachanganya wazazi/walezi wa kiume na kike hali inayopelekea baadhi ya wasimamizi wa...
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.