Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
7 Reactions
122 Replies
1K Views
Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
0 Reactions
12 Replies
207 Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
11 Reactions
99 Replies
1K Views
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora...
4 Reactions
104 Replies
5K Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
9 Reactions
56 Replies
848 Views
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
8 Reactions
83 Replies
3K Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
6 Reactions
24 Replies
680 Views
Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
1 Reactions
12 Replies
76 Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
5 Reactions
21 Replies
128 Views
Habari wakuu; Natafuta past papers za history, geography na language za NECTA 2023. Nikifanikiwa kuzipata tutaona utaratibu jinsi ya kukulipa Tsh.
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,628
Posts
49,423,828
Members
666,013
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom