Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Msiwaache salama wanaokuja kueneza Uchochezi Rufiji ni kauli ya mbunge mchengerwa na Thread ipo Hapa jamvini Sasa kwanini mnamshikia bango huyo nshomile? Ufafanuzi tafadhali Komredi Lucas na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa...
2 Reactions
4 Replies
57 Views
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu! Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea...
11 Reactions
31 Replies
560 Views
Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
12 Reactions
83 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
13 Reactions
201 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
2 Reactions
11 Replies
47 Views
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo...
4 Reactions
31 Replies
661 Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
5 Reactions
78 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,442
Posts
49,418,038
Members
665,946
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom