“Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi...
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao.
Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Akifungua Maonesho ya wiki ya Nishati,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ametangaza kumalizika Kwa mgo wa Umeme Nchini.
Dk. Biteko amesema wamefanikiwa kutekeleza Agizo la Rais...
Je, kwa nini Netanyahu anaendelea kuwaza kuhusu kulipa kisasi kwa Iran ikiwa Israel iliua makanda wa Iran, lakini wao Israel kama ambavyo wanaripoti kuwa wameyadungua makombora ya Iran 99% na...
Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Na Mwandishi Wetu, Mara
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.