Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dr. Samia alihamasisha tena Kwa kuchoma adharani. Dr. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa wakilishe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo sisalimii mtu. Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity. Sisi...
2 Reactions
7 Replies
111 Views
aimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Zanzibar ACP Abubakar Khamis Ally amesema Jeshi hilo litaendelea kuwakamata wale wote wataoonekana au kukutwa wakila chakula mchana hadharani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa...
4 Reactions
21 Replies
204 Views
Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye...
9 Reactions
69 Replies
1K Views
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
10 Reactions
127 Replies
2K Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
9 Reactions
132 Replies
883 Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
9 Reactions
48 Replies
397 Views
Matukio ya hawa watu kutaharibia watoto wetu yamekua mengi. Wadau ivi tuwafanyeje hawa kenge waache kutuharibia taifa la kesho????
2 Reactions
16 Replies
157 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,392
Posts
49,200,303
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom