I think it's truly funny when men say we are pregnant, and don't know the hormones acting up, random food cravings, pain, sleepless nights and body discomfort.
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
Hakika naona sasa ni Wakati sahihi kwa Serikali na Mifuko husika kutoa ELIMU juu ya KIKOKOTOO na Mafao ya Wastaafu ili kuwajengea Uelewa mpana Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa.
KIKOKOTOO...
Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.