Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'.
Sasa...
Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi.
Ameyasema hayo leo hii 26/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya...
Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga...
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita...
Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc.
Waziri mwenye dhamana ni nani?
Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa...
Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa...
Kila mara kunapozuka mjadala kuhusu muungano wetu mara zote watu hubishania kati ya serikali mbili au tatu, kuna kundi dogo pia ambalo huwazia na kuibua hoja za serikali moja kabisa. Je tunaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.