Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto...
Tax Assessors na Tax Collector's wanalielewa Hilo hivyo ni vema wakamuelewesha Waziri Mwigullu
Na kwa bahati nzuri Naibu Katibu mkuu Hazina ni Tax man
Sanare wakati wa kuanzisha TRA ndiye...
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita...
Hivi karibu Jeshi letu la POLISI Kitengo cha Usalama Barabarani lilikuwa na zoezi la kuziondoa NAMBA za 3D zilizofungwa kwenye Vyombo vya Usafiri.
Ni ukweli usiopingika kuwa Ipo KAMPUNI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.