Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kulikon hata mikoa...
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea...
Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri.
Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni...
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.
Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.