Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
1 Reactions
8 Replies
79 Views
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
18 Reactions
57 Replies
1K Views
Hivi hili taifa lina usalama au serikali kweli? Hili shirika linasambaza ushoga kupitia kugawa vilainishi, Spray na dawa za ajabu ajabu. Imekua ni clinic ya mashoga na wasagaji wakifundishwa njia...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
1 Reactions
14 Replies
222 Views
Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka...
5 Reactions
28 Replies
615 Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
3 Reactions
30 Replies
845 Views
Habari wanajf, Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo. Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo...
7 Reactions
31 Replies
815 Views
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je...
2 Reactions
38 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,675
Posts
49,110,773
Members
662,965
Latest member
Unju5
Back
Top Bottom