Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua...
1 Reactions
7 Replies
212 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
0 Reactions
12 Replies
231 Views
Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile. Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa...
0 Reactions
10 Replies
79 Views
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa๐Ÿ‘‡ 1. CPA. William E. Mtinya...
1 Reactions
10 Replies
330 Views
Taarifa haijakamilika rasmi, kama kuna yeyote atakaye pata updates zaidi, basi unaweza kutuletea taarifa iliyokamilika ๐Ÿค. โ€ข MwenyeziMungu awaweke mahali pewa wale wote waliofikwa na umauti...
2 Reactions
12 Replies
13 Views
Nchi hii vogogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
29 Reactions
164 Replies
3K Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
13 Reactions
117 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,029
Posts
49,404,453
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom