Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
39 Reactions
111 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa...
48 Reactions
68 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
6 Reactions
45 Replies
500 Views
Spika Tulia Ackson akifanya mahojiano na Salama Jabir, ameulizwa kama anamchukia rapa Sugu. Tulia amejibu kuwa hamchukii Sugu lakini pia amesema sio adui yake wala rafiki yake, na ameongeza kuwa...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli. Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki...
1 Reactions
6 Replies
155 Views
Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University...
0 Reactions
24 Replies
503 Views
Boniface Jacob na G Malisa bado wako mikononi mwa Police na Nyumba zao zitapekuliwa Source Mwananchi Mlale Unono
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
47 Reactions
255 Replies
6K Views
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
9 Reactions
73 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,553
Posts
49,488,941
Members
666,768
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom