Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards.Kwenye maelezo...
1 Reactions
6 Replies
233 Views
Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia...
1 Reactions
2 Replies
55 Views
Hapana shaka CCM ni SSH: ACT-Wazalendo ni ZZK: CHAUMMA ni HRS: CHADEMA ni nani? Maoni yangu; -Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
2 Reactions
13 Replies
229 Views
Amani iwe nanyi. Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu. Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
37 Reactions
266 Replies
12K Views
Ama kweli Maendeleo hayana Chama.
4 Reactions
16 Replies
630 Views
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
9 Reactions
392 Replies
12K Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
7 Reactions
72 Replies
1K Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
10K Replies
3M Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
0 Reactions
26 Replies
428 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,499
Posts
49,204,046
Members
664,041
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom