Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu habari zenu,
Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school,
nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala...
DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo
Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko
Hongera RC Chalamila...
Yes.
Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa
Musonda
Francis Kahata
Yaw Berko
Amis Tambwe
Haruna...
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika.
Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.