Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya...
6 Reactions
29 Replies
667 Views
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe...
9 Reactions
34 Replies
410 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
21 Reactions
2K Replies
33K Views
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
8 Reactions
83 Replies
2K Views
Leo nawashangaa sna mnatunyima kula mchana kisa mmefunga! Najiuliza mbona mnashindwa kujenga vitu vya maana kabisa ninyi mnakazana na dini wakati mkiugua mnakimbizwa KCMC au Bugando kutibiwa na...
32 Reactions
290 Replies
3K Views
Naomba niende kwenye mada, mimi na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wa pili mwaka 2018. Nilihamishwa kikazi...
151 Reactions
1K Replies
61K Views
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha...
42 Reactions
77 Replies
3K Views
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Wana JF, umofia kwenu. Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe...
5 Reactions
25 Replies
404 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,820
Posts
49,215,495
Members
664,106
Latest member
boon
Back
Top Bottom