Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini...
7 Reactions
8K Replies
522K Views
kwa nayoyaonaaaa sidhan tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule Uwanjaa n mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na n risky lwa afraid zaooo Tunaombaaa ukakaguliwe upya na alieupitisha...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na...
10 Reactions
160 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza.
4 Reactions
60 Replies
494 Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
1 Reactions
62 Replies
426 Views
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi...
8 Reactions
78 Replies
2K Views
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
23 Reactions
52 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,172
Posts
49,476,823
Members
666,631
Latest member
lsack jonathan jacob
Back
Top Bottom