Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
2 Reactions
27 Replies
990 Views
Habari za wakati huu wana Jamii Forum, Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER...
3 Reactions
5 Replies
159 Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
36 Reactions
662 Replies
15K Views
Basi najiululiza nyani siku hizi wameendaga wapi? Afu huyu nyani baada ya kubadilika alijigawa vipi kuwa mwanamke na mwanaume wale wanaoekewa haya mambo wanieleze maana duh! Mimi naona Ni uchuro...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
129 Reactions
2K Replies
167K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
24 Reactions
199 Replies
7K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
51 Reactions
780 Replies
52K Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
3 Reactions
13 Replies
185 Views
Hili ni jambo lililofanyika usiku huu , hakuna kulala . Habari kamili hii hapa
1 Reactions
3 Replies
205 Views
Rafiki yangu mmoja tulikuwa tunapiga nae stori, akaniambia kwenye ndoa kuna mambo mengi uwa inafika wakati mambo yanakuwa ya kinyama sana mfano kununiana, kususana na mambo yanayofanana na hayo:-...
3 Reactions
5 Replies
84 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,687
Posts
49,462,828
Members
666,413
Latest member
Khismary
Back
Top Bottom