Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
14 Reactions
104 Replies
2K Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
15 Reactions
80 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga Anatembea na Exodus 14:14 Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥 Kwenu Lucas na...
1 Reactions
8 Replies
11 Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
9 Reactions
39 Replies
740 Views
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu Swali: Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa...
6 Reactions
35 Replies
589 Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
10 Reactions
61 Replies
1K Views
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi. Back up plan ni muhimu sana.
16 Reactions
154 Replies
1K Views
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo...
5 Reactions
93 Replies
3K Views
Baada tu ya Komredi Makala kutangazwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM Chama Kikuu Cha Upinzani kikasema Makala hauwezi kukubali kufanya mdahalo Lakini wakati wa kupokelewa ofisini Lumumba Komredi Makala...
0 Reactions
5 Replies
133 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,414
Posts
49,416,801
Members
665,942
Latest member
lifeofstwicher
Back
Top Bottom