๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐
Naomba mwenye softy copy ya vitini tajwa hapo juu aweze kunisaidia
(Cytology&Biochemistry) pamoja na (Genetics) vyote vimeandikwa na josephat au Mr Mandia
๐๐๐
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
MHE. Aloyce Andrew Kwezi Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Nimpongeze Waziri wa TAMISEMI na timu...
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Niaje waungwana
Leo ningependa kuuliza tena maswali ambayo yamekuwa yakikosa majibu ya kueleweka kutoka kwa uongozi wote wa JF kwa ujumla.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya moderators kuvizia post...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.