Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WAZIRI KAIRUKI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MIOMBO, WASHINGTON DC Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana. Hii...
5 Reactions
38 Replies
629 Views
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu...
49 Reactions
201 Replies
9K Views
Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia...
1 Reactions
7 Replies
76 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
5 Reactions
52 Replies
658 Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kupitia Uongozi wa Viongozi Wetu, Tunajifunza Ushupavu na Hekima Kubwa Katika Kukabiliana na Mambo Ya Kijamii, Kitaifa, Kimataifa, na Mmoja mmoja. Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Mfano Pale...
0 Reactions
3 Replies
22 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
27 Reactions
127 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,930
Posts
49,401,209
Members
665,778
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom