Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Sticky
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k. Binafsi nina e-library kubwa...
67 Reactions
996 Replies
204K Views
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana...
1 Reactions
7 Replies
37 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
333 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo...
8 Reactions
37 Replies
273 Views
Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
1 Reactions
12 Replies
339 Views
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
7 Reactions
47 Replies
472 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa...
3 Reactions
32 Replies
145 Views
Bado sijaelewa hali hii inetokana na nini , Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu ?
1 Reactions
4 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,428
Posts
49,201,770
Members
664,011
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom