Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
2 Reactions
40 Replies
437 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
19 Reactions
1K Replies
10K Views
Utasikia fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka NONSENSE, UJINGA...
4 Reactions
32 Replies
275 Views
Angalizo: Mada za Msingi kama Hizi Huwezi Wakuta Watanzania wanadili ila Umbea,michezo,siasa na dini . Kwenye mada,Kwa mujibu wa Utafiti wa Benki ya Dunia,Tanzania inashika nafasi ya 180 kati ya...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwenye makuzi yetu mpaka kufikia hapa tulipofikia kuna mtu amehusika kwa asilimia kubwa mpaka kufika tulipofika. Yawezekana ni baba,mama, rafiki, bibi, babu, mjomba, mwalimu wa shule ama yeyote...
1 Reactions
2 Replies
5 Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
8 Reactions
48 Replies
305 Views
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
2 Reactions
36 Replies
812 Views
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji,,, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku. Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika...
3 Reactions
23 Replies
286 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,823
Posts
49,466,917
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom